Thursday, April 9, 2020

Repentance and Absolution: (Swahili) By; Fr. Dr. Joseph Matumaini





Katika maandalizi ya Pasaka, kila mkristo anapaswa kufanya maandalizi, hasa ya kiroho, ili aweze kupata msamaha na ondoleo wa dhambi zake, kwa njia ya tafakari, toba, maungamo na malipizi.


Fr. Dr. Joseph Matumaini, Paroko wa Parokia ya Kanisa Kuu, la Mt. Joseph, DSM, anayo mengi ya kutuelimisha hapa hapa kwa ajili ya Roho zetu.





Tumuombe kweli KRISTO aweze kuziangalia nia zetu za kugeuza mioyo yetu, inayotaka kumuelekea yeye ili tuache dhambi zetu, kwa wingi wa rehema zake na neema zake, atusamehe na kuziponya roho zetu kweli na kutufanya tumtumikie Yeye kweli kweli na kuwa kweli Nuru ya Ulimwengu.



Tumsifu Yesu Kristo!





No comments:

COVID-19 Prayer Campaign

Catholic News Links

Catholic News Links
EWTN, Vatican News Swahili, CNA, CHARIS, Catholic Online, Church POP, Catholics Come Home